SIFA ZA WHATSAPP PLUS..
-Whatsapp ya kawaida inakuja na icon ya kijani, lakini katika whatsapp plus ina icon ya bluu na pia unaweza kubadilisha rangi ya icon kuweka rangi unayoipenda.
-Unataka kutuma video kubwa? Ndiyo, ni rahisi kwa whatsapp plus ambayo inaruhusu kutuma ukubwa wa video mpaka 50MB.
-Katika whatsapp ya kawaida unaweza kutuma hadi picha 10 kwa wakati mmoja kwa kuchagua, lakini katika whastapp plus unaweza kutuma picha zaidi ya 10 wakati mmoja
-Kwa kutumia whatsapp plus unaweza kubadilisha rangi ya background, rangi ya notifications, rangi ya chats, n.k
-Ukitumia whatsapp plus unaweza kwa kuitazama video uliyotumiwa au iliyotumwa katika group bila ya kuidownload
-Ukitumia whatsapp plus unaweza kuifungua picha uliyotumiwa au iliyotumwa katika group bila kuidownload.
-Ukitumia whatsapp plus unaweza kusoma texts bila ya aliyekutumia kuona kama imekuwa delivered kwa kumpa ishara ya tick mbili
-Ukitumia whatsapp plus unaweza kuset na kuona profile picha ya kila member kwenye group
-Ukitumia whatsapp plus unaweza kuziona status za watu wote katika whatsapp yako bila ya kufungua profiles zao.
MUONEKANO WA CHAT YA WEWE NA RAFIKI YAKO
Bonyeza Whatsapp Plus kudownload.