Utafurahia kucheka sana kwenye kundi la watu kama meno yako yatakuwa yanang'ara lakini kama una meno yenye rangi ya njano utajikuta unaishia kutabasamu. Meno ni moja kati ya kiungo muhimu sana katika kinywa cha kiumbe yeyote yule.
Na kwa sisi binadamu meno yanatusaidia kwa kiasi kikubwa sana mfano hauwezi kula vizuri kama hauna meno. Vile vile meno ni siraha yanaweza kukupa company kwenye Ugomvi.
Leo nimeona nijaribu kukuletea maada muhimu sana ya jinsi gani unaweza kuyafanya meno yako yang'ae zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha pesa...

Kung'arisha meno kunahitaji kujitoa kwa kusafisha kinywa chako kila siku asubuhi, Baada ya kula na Wakati wa kulala but wengi hufanya hivyo lakini bado wanasumbuliwa utawakuta bado wanatatizo la rangi ya njano kwenye meno yao.
Je ni vitu gani vinasababisha meno kuwa na rangi ya njano na kutokung'ara hata kama unapiga mswaki?
Baadhi ya vyakula hususani vyenye sukari na chemicals nyingi zinaweza kusababisha kupoteza rangi asili ya meno yako. Mfano ulaji wa chocolate, na madawa kama Kuberi, Ugoro,Matumizi ya Sigara,Pombe za kienyeji.
Pia unywaji wa chai ya rangi mara kwa mara na matumizi ya kahawa yanaweza kukusababishia upotevu wa Mng'aro wa meno yako.
JINSI YA KUNG'ARISHA MENO KWA NJIA RAHISI
Meno yanaweza kung'ara mithiri ya kioo juani kama njia ifuatato
MAHITAJI
Lemon (Limau)
Bicarbonate of soda (Baking spoda)
Maji
Mswaki

Baking soda or Bicarbonate of soda
Lemon (limau)
MATUMIZI
1. Chukua kijiko kimoja cha bicarbonate soda (Kijiko kikubwa cha chakula) weka kwenye kibakuli au kisahani kidogo.
2. Kata limao moja litoke vipande viwili kisha kamulia juice ya limao kwenye bicarbonate soda uliyoweka kwenye sahani hakikisha unatumia vipande vyote vilili vya limao.
3. Subiri kwa dakika mbili mpaka uhakikishe povu limekatika kwasabubu utapokamulia limao kwenye baking soda utaona povu linalosabishwa na reaction
4. Chukua mswaki kisha weka bicarbonate soda ilichanganywa na limao na anza kusafisha meno kwa dakika tatu
5. Osha kinywa kwa maji mengi baada ya kusafisha meno Baada ya muda utaanza kuona Mabadiliko
ONYO
Baking soda inatumika kung'arisha meno na unashauriwa kutumia kwa kila baada ya siku saba yaani kwa wiki mara moja ukitumia kila siku unaweza kusababisha madhara kwenye kinywa chako